pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
[emoji1][emoji1][emoji1]
Hapa ni kwenye sehemu ya tukio la ajali barabarani ambapo mbwa aligongwa na gari hadi akafa. Ila ajabu ni kwamba hawa vijana wawili watz waliamua kurushiana makonde badala ya kuomboleza. Kisa ni na nani kati yao ambaye angemchinja na kumla huyu Bosco wa Luangalila.