Wabongo bana, yaani kwenye msiba nyinyi huwa mnawaza kitoweo?

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
[emoji1][emoji1][emoji1]
Hapa ni kwenye sehemu ya tukio la ajali barabarani ambapo mbwa aligongwa na gari hadi akafa. Ila ajabu ni kwamba hawa vijana wawili watz waliamua kurushiana makonde badala ya kuomboleza. Kisa ni na nani kati yao ambaye angemchinja na kumla huyu Bosco wa Luangalila.
 
Tanzania hatupititi kulia barabarani, jipange hao ni wakenya wenzako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji12][emoji12][emoji12][emoji28][emoji28]
 
Mkiambiwa Mirungi haifai kwa afya hamuelewi matokeo yake unaokoteza picha za kwenu Kenya.
Jombaa, hapo ni Iringa, ndio hii picha nyingine. Acha kujitia hamnazo, haya ya wala mbwa Tz unayafahamu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…