Wabongo bwana

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Wabongo huwa mnanifurahisha sana mnavyoitana majina yenu yakupachikana,

Mara utasikia Chief, Mkuu, Bosi, Mtaalam, Tajiri, Kiongozi, Kamanda mara Mheshimiwa

Unaweza fikiria hakuna tatizo la ajira nchini [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Liko wapi tatizo la ajira nchini..? Sindo hvyo vyeo wamejiajiri wanajiita
 
Mie kuna msera wangu namiitaga mkurugenzi, yeye ananiita constebo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] comment zenu tu mie hoi
 
Dah kuwa Mtanzania mda mwingine raha sana yani nimecheka dah[emoji2] [emoji2]
 
Wengine Tusipoitana hivi hatutokuja kupata vyeo hivi maisha yote , bora tujifariji tu Boss
 
kitaani kuna mwana ananiitaga msomi wakati shule niliacha darasa la nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…