Wabongo kaeni kwenu, majirani zenu wamefunga mipaka, acheni kukamatwa mkiingia Uganda kinyemela

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kitumbua cha dunia kimeingia mchanga, mataifa yamefunga mipaka, kila mtu abaki kwao ndani, hii ndio taswira kote, sasa Watz bado hawaonyeshi kuelewa hiki kitu, mataifa yote yaliyowazunguka yamewafungia mipaka, ila bado mnang'ang'ania kwenda kwao, kwani ndugu zetu hamuwezi kuvumilia njaa ya wiki tatu? Hehehehehe!!!

Hali itarudi kama kawaida, mwezi mmoja tutafungua mipaka na kuendelea kuwapokea kama siku zote, ila kwa sasa kila mtu abaki kwao afakamie kile ametunza ghalani mwake siku zote. Kwa sasa kila mtu abaki ndani tuzaliane tu basi.

======

Marine police and other sister security agancies have intercepted nine Tanzanian businessmen who had entered Uganda through Mwanza port using MV Upendo.

Police identified the businessmen as Juma Mahalaganya, Kondo Msrika, Spencer Jupinya, Hajji Juma, Matthias Alistens, Siraje Kasiim, Mussa Alfari, Raphael Abel And Malizia Osward.

They were reportedly escorted back to Tanzania.

Uganda Police spokesperson, Mr Fred Enanga, on Monday said this was in line with implementation efforts of Pesident Museveni’s directive to close all Uganda’s border points.

“We have a country that is actually very secure. Our joint security organs are ensuring no person enters Uganda; including all pedestrians, cyclists or motorists,” he said.

He said security at all Uganda’s border points was reinforced with additional deployment to ensure strict adherence to the border lock down to forestall the spread of coronavirus.
The prominent areas are Elegu and Lamwo in Aswa region, the eastern side of Busia- Malaba-Lwakaka access, and the western side from Ntoroko going down to Lwera up to Kanugu, according to the police spokesperson.

He said the southern sides bordering Rwanda and Tanzania have also been secured.

“We were having an influx of residents from Tanzania and Kenya that were trying to brave the waters of Migingo Island but our enforcement team were able to drive them back to where they were coming from,” Mr Enanga added.

He said a joint security team is now focusing on implementing the ban on travel to and from Uganda and ensuring no persons enter Uganda by land or water, with the exception of drivers of cargo cars and accompanying crew, not exceeding three people.

“No buses, mini buses, salon cars or Boda boda are being or will be allowed into the country,” he said.

President Museveni on Saturday ordered closure of all borders and suspended passenger flights just hours before Uganda confirmed its first virus case on.

The confirmed case is a Ugandan businessman who had travelled to Dubai on March 17, 2020 and returned on March 21 aboard Uganda Airlines.

Source: The Citizen
 
Hata wa Kenya watulie kwao juzi tu hapo wamekamatwa kumi wameingia kinyemela Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kenya tumefunga mipaka, Uganda amefunga, Rwanda amefunga, majirani zenu wote wamewafungia, labda Burundi kwa njaa yake ndio bado amewaachia. Sijui kama Zanzibar naye amediriki kuwafungia.

Kila mtu akae ndani kwake, vumilieni njaa ya wiki tatu tu, mambo yatarudia hali yake ya kawaida. Sijui kwanini hamuelewi hili, kwamba dunia imevamiwa na adui ambaye hakutegemewa.
 
Sasa kama kumefungwa, wanaingiaje?
 
Sasa kama kumefungwa, wanaingiaje?

Hujaona hapo wamekamatwa waking'ang'ania kuingia Uganda kupitia ziwani, ila Waganda hawapendi ujinga, wakifunga wamefunga.
Kila mtu amefunga, ni mwendo wa kuzaliana tu sasa maana vyumbani sioni kingine cha maana.
 
Donald Trump naye kaamua kuungana na Magufuli,hapa kazi tu
 
Attachments

  • 2349138_Screenshot_20200326-110352.png
    2349138_Screenshot_20200326-110352.png
    35.1 KB · Views: 1
MK254 Tanzania hakuna njaa ya aina yeyote. Na watu wachache hao sio representation ya Watanzania mil 50+

Tukitumia same criteria utakuta Kenya inabeba sifa za ajabu ajabu mpaka basi
 
Hehehe!! Muwape darasa hao wachache wavumilie siku chache, mipaka itafunguliwa tu na wataruhusiwa ndani, ila kwa sasa kila mtu apambane na hali yake kivyake kwao huko. Hata wazungu wa UK na US hawaingiliani tena, ni kubaya.
 
Kenya tumefunga mipaka, Uganda amefunga, Rwanda amefunga, majirani zenu wote wamewafungia, labda Burundi kwa njaa yake ndio bado amewaachia. Sijui kama Zanzibar naye amediriki kuwafungia.

Kila mtu akae ndani kwake, vumilieni njaa ya wiki tatu tu, mambo yatarudia hali yake ya kawaida. Sijui kwanini hamuelewi hili, kwamba dunia imevamiwa na adui ambaye hakutegemewa.
Sasa Kuna haja gani ya kufungiana wiki 3 ili kuondoa maambikiz kwani hapo mwanzo yalikuwepo maambikiz c wangefunga mipaka mapema hata hiyo kaz ya kufungiana wiki 3 isingekuwepo au serikali ilikua inajaribu Kama tutapata maambukiz au laa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitumbua cha dunia kimeingia mchanga, mataifa yamefunga mipaka, kila mtu abaki kwao ndani, hii ndio taswira kote, sasa Watz bado hawaonyeshi kuelewa hiki kitu, mataifa yote yaliyowazunguka yamewafungia mipaka, ila bado mnang'ang'ania kwenda kwao, kwani ndugu zetu hamuwezi kuvumilia njaa ya wiki tatu? Hehehehehe!!!

Hali itarudi kama kawaida, mwezi mmoja tutafungua mipaka na kuendelea kuwapokea kama siku zote, ila kwa sasa kila mtu abaki kwao afakamie kile ametunza ghalani mwake siku zote. Kwa sasa kila mtu abaki ndani tuzaliane tu basi.

======

Marine police and other sister security agancies have intercepted nine Tanzanian businessmen who had entered Uganda through Mwanza port using MV Upendo.

Police identified the businessmen as Juma Mahalaganya, Kondo Msrika, Spencer Jupinya, Hajji Juma, Matthias Alistens, Siraje Kasiim, Mussa Alfari, Raphael Abel And Malizia Osward.

They were reportedly escorted back to Tanzania.

Uganda Police spokesperson, Mr Fred Enanga, on Monday said this was in line with implementation efforts of Pesident Museveni’s directive to close all Uganda’s border points.

“We have a country that is actually very secure. Our joint security organs are ensuring no person enters Uganda; including all pedestrians, cyclists or motorists,” he said.

He said security at all Uganda’s border points was reinforced with additional deployment to ensure strict adherence to the border lock down to forestall the spread of coronavirus.
The prominent areas are Elegu and Lamwo in Aswa region, the eastern side of Busia- Malaba-Lwakaka access, and the western side from Ntoroko going down to Lwera up to Kanugu, according to the police spokesperson.

He said the southern sides bordering Rwanda and Tanzania have also been secured.

“We were having an influx of residents from Tanzania and Kenya that were trying to brave the waters of Migingo Island but our enforcement team were able to drive them back to where they were coming from,” Mr Enanga added.

He said a joint security team is now focusing on implementing the ban on travel to and from Uganda and ensuring no persons enter Uganda by land or water, with the exception of drivers of cargo cars and accompanying crew, not exceeding three people.

“No buses, mini buses, salon cars or Boda boda are being or will be allowed into the country,” he said.

President Museveni on Saturday ordered closure of all borders and suspended passenger flights just hours before Uganda confirmed its first virus case on.

The confirmed case is a Ugandan businessman who had travelled to Dubai on March 17, 2020 and returned on March 21 aboard Uganda Airlines.

Source: The Citizen
Mkaa bure sio sawa na mtembea bure. Acha tuendelee kupuyanga
 
Sasa Kuna haja gani ya kufungiana wiki 3 ili kuondoa maambikiz kwani hapo mwanzo yalikuwepo maambikiz c wangefunga mipaka mapema hata hiyo kaz ya kufungiana wiki 3 isingekuwepo au serikali ilikua inajaribu Kama tutapata maambukiz au laa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimetumia muda wangu kusoma kuhusu hiki kirusi na jinsi gani kinaambukizwa, yaani nimechimba ndani kiutaalam zaidi, aisei inashangaza vipi Africa tumepona maana tuna sifa na kila sababu za kuangamizwa bara lote asibaki mtu, yaani Mungu anatulinda tu.
 
Back
Top Bottom