WaBongo kujeni hapa tuseme nanyi

Hii miradi mnayoshindanisha inachekesha
Mradi wa kuua albino
Mradi wa ugaidi
Mradi wa kuua watoto
Mradi wa njaa
Nk..
 
Watanzania tuna wachallenge kawaida tu lakini siyo kuwa na roho za husda kama nyie wakenya. Nimefuatilia social platforms nyingi tu kwa mfano nakupa hapa Tanzania juzi kati alikuwepo mke wa Steve Harvey kule Serengeti sasa fuatilia Instagram uone namna wakenya kimewabana rohoni yaani ni basi tu hawawezi kuongea lakini unaona kabisa huyu mtu wivu na jicho la husda vimemjaa. Acheni hizo aliyepewa kapewa.
Unashangaza sana wewe JF hapa walitenga sehemu tuwe tuna post mambo ya kwetu Kenya, ila kila tunachokiweka kizuri hamuishi kutiririka matusi, chuki na kudhihirisha mlivyo na roho nyeusi za kichawi.
 
Wakenya especialy from mombasa mnatubypass kwa kuwa machoko tu nothing else
 
Kwa pesa zetu za ndani;
Sgr zero
ATCL zero
Bagamoyo zero
BRT kufinyana kama mambuzi wakielekezwa kichinjio
GDP $61B
Uchumi unakua kwa 4%
 
Gdp gap ya 40 billion na fala ako na guts ya kubonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…