Wabongo kwenye masuala ya tech hatupo au mambo hayo yanafanywa na wasio na elimu nayo?

Wabongo kwenye masuala ya tech hatupo au mambo hayo yanafanywa na wasio na elimu nayo?

Agera 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
4,088
Reaction score
4,226
Majuzi hapa kuna kitu nilikuwa nacheki review moja ya powerbank nikakuta ya kiswahili nikasema ngoja niangalie



Link yake hio hapo ..yani jamaa maswala ya tech hakuna kabisa kifupi anajarbu kufanya review ya vitu hata havielewi

Pia same oraimo powerbank nikakuta review ya mkenya mmoja yeye anaonekana ana kauelewa na anachoongea hadi testing

Pia kuna ya mdada mmoja nadhani ni mniger atleast yeye anaongea kitu unaona kabisa huyu anajua nini anachoongelea

Link chini

 
Bongo wenye platform na uwezo wa kupresent hawana contents na hata wakiwa nazo wanakuwa wapo very shallow and uninformed.

Nadhani kabla ya mtu kuingia katika platforms na kujinasibu kuwa ni mtaalamu wa jambo fulani ni vema ukatenga muda wa kujitafakari na kukadiria uwezo wako umekaaje.
 
Mimi huwa naangalia zile nyimbo za singeli wale wanawake wanavyoyapekenyua makalio. Sidhani kama kwa upuuzi ule unaweza kupata kizazi cha watu wa maana.
 
Kilimo cha mpira - Malaysia
Kilimo cha buni - Brazil
Mlima mrefu - Everest
Mgunduzi wa L.Victoria - Speke
Mmisionari wa kwanza Pwani ya Afrika - Hata sikumbuki, sijui Vasco!
Wakoloni walingiaje - Sijui nini

Mara, route za watumwa!
Hujakaa sawa, Tehama inafundushwa na wasiojua kutumia hata Smart phone kwa ufasaha, achilia mbali qualifications zake za kupata hiyo nafasi ya ualimu.

Mpaka wakikutana na hayo mateknolojia wako hoi na matakataka kichwani, wata present nini sasa?
 
😂😂😂😂wengi kama wanatafsiri movie
Insta namuonaga mmoja yani anachokazania anasema ni 4k hii tv inch sijui ngap yani huwa siwaelewagi kabisa

Nishawah kwenda tafuta powerbank around 2015 hivi sehemu ..nikakuta duka moja naulizia nikaambiwa zipo elf 30 nikauliza uwezo gani zina mAh ngap ? Kipindi hio simu za fast charging hata hazikuwa nyingi nyingi ni default 5V 1A kwahio maswala ya how fast inacharge sikuweka kipaumbele zaidi ya capacity , sasa muuzaji hajui hata miliiampere ni kitu gani na duka ni kubwa tu


Akanambia ila inakaa na chaji inaweza chaji simu yoyote mara mbili 😁 daa nikabaki na cheka nikaondoka
 
Bongo wenye platform na uwezo wa kupresent hawana contents na hata wakiwa nazo wanakuwa wapo very shallow and uninformed.

Nadhani kabla ya mtu kuingia katika platforms na kujinasibu kuwa ni mtaalamu wa jambo fulani ni vema ukatenga muda wa kujitafakari na kukadiria uwezo wako umekaaje.
Huko insta ndo kituko

Imagine nimeenda sehemu kuna mkenya flani ananiezea kitu hadi nikaona huyu anajua sasa na mm nampiga maswali juu ya uwezo wake na anajibu technically kabisa hadi tukabaki na stori sasa juu ya maswala ya tech
 
Kiukweli bongo bado tuko na aina fulani ya watu mi nashindwaga waelewa, ila ndio ivo tupambane na hali zetu tu.

Sasa mfano mimi huwa kila siku naingia jukwaa hili nakutana na thread zile zile na maswali ambayo sometimes nachekaga kuwa mods wanakuwaga wapi ila ndio watanzania tulivyo

jf1.JPG
jf2.JPG
jf3.JPG


kwa tanzania yetu watu bado hawajataka kujifunza na wanaojaribu naona mara nyingi huwa wanakatishwa sana tamaa
 
Tatzo ana mbwembwe nying kulko content af hamnaga tech na movie lazma. Kimja kmmeze mwenzie
 
Back
Top Bottom