Insta namuonaga mmoja yani anachokazania anasema ni 4k hii tv inch sijui ngap yani huwa siwaelewagi kabisaππππwengi kama wanatafsiri movie
Huko insta ndo kitukoBongo wenye platform na uwezo wa kupresent hawana contents na hata wakiwa nazo wanakuwa wapo very shallow and uninformed.
Nadhani kabla ya mtu kuingia katika platforms na kujinasibu kuwa ni mtaalamu wa jambo fulani ni vema ukatenga muda wa kujitafakari na kukadiria uwezo wako umekaaje.