Wabongo na maisha ya mtumba mpaka kaburini

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Kweli kuzaliwa 3rd countries majanga aisee..
Yaani toka kuzaliwa kwetu mpaka kufa,mwendo ni Mtumba tu
Yaani:-
1.DEMU/MKE mtumba
2.GARI mtumba
3.MAVAZI mtumba
4.MALAZI mtumba
5.SIMU mtumba
6.TV mtumba.
Doh na isitoshe hata nyumba nayo mtumba tu...eeh ndio zetu aisee,BRAND NEW ni jeneza na SANDA tu,japo hata wengine pia SANDA huwa mtumba..

Ah nilisahau WIGI na zile zingine Mnabond[emoji5] [emoji5]
 
Usi generalize ndugu yangu, hiyo ni wewe na watu wako tu walahi!
 
Usi generalize ndugu yangu, hiyo ni wewe na watu wako tu walahi!
Asilimia kubwa inapodondokea ktk mfadhaiko basi Tunaita janga.

Huwezi sema watanzania ni walaji wakuku kupindukia wakati walaji wanajizolea asilimia 1/3
 
Sidhani kama kuna mmbongo anayetumia vitu FIRST hand 100%...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…