Wabongo noma sana aisee!

BigBro

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
3,585
Reaction score
11,601
Unaangalia muvi ya Yesu waliyoigiza Wabongo

Maria: Yosef nina Mimba

Yosef: Yesu wangu! mimba ya nani?

Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa?
 
Nimecheka sana!! Lakini hainizuii kumwita Paw aihamishie jukwaa husika.
 
Ndizo zao haswaa.,angalia kama movie za 'SAVIMBI' kuanzia Igunga,soweto Arusha na hata movie anayoicheza sasa kwa ndugu yetu Saanane,hazuvutii,hazieleweki na katu haziingii akilini kushawishi uziamini.
 
Kwa hy hiki ndio umeamua kutuletea badilika na jaribu kuleta mada kutokana na kauli mbiu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…