Wabongo tuache unafiki

Mbona wapinzani huwa mnawaonea!?? Na kujifanya mu wajuaji!?? Hapo vipi!?? Pambaneni na hali zenu !!!
Eti!! Mtu ana bastola anapora bunduki mbili kwa mpigo!?? Hahaaa hahaa aiseee
Mkuu jiulize jamaa kajulia wapi kutumia hizo zana.

Ujue si kitoto hata ungekuwa wewe amejuaje kutumia AK-47
 
Ule ni uzembe,mtu yuko eneo la wazi tena katumia karibu nusu saa mzima kuzunguka pale.

Jeshi la polisi halina walenga shabaha(sniper) wamvunje miguu na kumkamata akiwa hai?

Ule ni uzembe!
 
Ule ni uzembe,mtu yuko eneo la wazi tena katumia karibu nusu saa mzima kuzunguka pale.

Jeshi la polisi halina walenga shabaha(sniper) wamvunje miguu na kumkamata akiwa hai?

Ule ni uzembe!
Ungeenda wewe mkuu yaani urisk maisha mshahara wenyewe ukute laki 4 kwa mwezi.
 
Basi mwenyewe unajiona umeandika cha maana hapo, mtu upo mkoani huko unachambua yaliyotokea Dar!
 
Hivi kweli unatetea polisi kwenye hilo tukio, mtu mmoja mapolisi zaid ya 30 na kafunga mtaa kwa masaa. Je wangekuwa watano si mji mzima ungesimama siku yote ya leo
Hoja ya kipumbavu sana hii.

Ukisikia mtu anaweka neno "NGE" ktk sentensi ya maelezo yake.

Kwani we mwenyewe ungekuwa na pesa si ungekuwa unakaa meza 1 na akina Bilget na Bezos ukiwa unashauriana nao mikakati ya kiuchumi.
 
Kama ni unafiki Anza kukemea viongozi Kwanza, ambao ndo wamekuwa wanafiki kutuzidi, ikiwa hivyo je, sisi wananchi wa kawaida tuweje?
 
Kama ni unafiki Anza kukemea viongozi Kwanza, ambao ndo wamekuwa wanafiki kutuzidi, ikiwa hivyo je, sisi wananchi wa kawaida tuweje?
Nishaanza na wao na sasa nipo kwa wadau mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…