Wabongo tumezidi sana kujiita majina ya nje yasiyoendana kabisa

Wabongo tumezidi sana kujiita majina ya nje yasiyoendana kabisa

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Hii sasa imezidi kwa wanawake unakuta mdada jina lake Mwanaidi Maguire, Anastasia Shmidt, Scolastica O'brien unabaki kusema tu WTF. Na wala siyo jina la mume.

Ukija kwa madume utashangaa Wolfgang Petersen, Melkizedek Mendez, Sospeter D'Angelo, Obadiah Van Basten, Eliasante Stones.

Halafu kuna katabia kengine kakukera wabongo kuongezea 'Son' kwenye majina yao kuna huyu anaimba nyimbo za injili sijui muhubiri anajiita Jangalason na mwengine mwanajamvi mwenzetu kaongezea son kwenye jina lake Namilison.

What is this really hata kama siyo vizuri kuingilia uhuru wa mtu.
 
Aya tutaje majina yetu ya asiri kama utaweza kuyatamka.

Ila ni ulimbukeni kujiita jina ambalo sio ulilopewa na wazaz wako
 
Back
Top Bottom