Wabongo tunapenda ubuyu kuliko vitu vya msingi oneni Sister fey anavyotrend

Wewe mwenyewe kumuundia thread tayari umesha mpa kiki tosha ko be careful with your heart my young dear,afu wengi wao Ni wanaume wa DAR ndo mnapenda kuwa viben ten na kushinda mitandaoni kutwa ko ndo mnamuongezea kiki na kumfuatria umbea na udaku wake,sisi wa mikoani tuko bize na mashamba ok.
 
Imebidi nikaiangalie aisee,noma sana
 
Wewe ulijuaje ana-trend kama humfatilii? Kwa hiyo wewe mwenyewe unashiriki kikamilifu kwenye ubuyu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…