bora hao wanaoomba kazi kuliko kuomba hela.....kila mtu akomae kivyake.mimi hapo sikuungi mkono,hiyo siyo tamaa,hiyo ni juhudi,sababu wako ma-jobless kibao tu ambao hata wao hawataomba nafasi hiyo utakayo,tena ni oppportunity nzuri sana kwako kutengeneza network,na itakurahisishia kupata kazi,,,,nawasilisha.