Wabongo wa London kweli mmechoka

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza???
Sishangai hata huo ukumbi wenu kama parking ya gari......

Alafu aisee......huwezi kuamini kama hapo ni majuu....wabongo hata majuu hamuivi?? ngozi iko smuthu kama vile mnaishi mburahati bana? wabongo majuu ya US wanang'ara kichizi......
 
Wee jamaa yaelekea ulikuwa na usongo sana wa kuondoka halafu labda ukanyimwa visa basi na ndoto zako za kwenda majuu zikafilia mbali.

Huachi kufatafata wabongo wa majuu. Pole.
Hapana arifu.....kweli viza pale ubalozini nimedunda mara kibao jamaa wananipa mashuti kama ya Hamisi gaga.....lakini mazee mimi najua majuu mnakula happy aisee....full bata bonge la wetha.....mibarafu miksa mabaga na mapizza na soda za kopo za kumwaga....

...

sasa hii picha cheki ukumbi kwanza kama parking ya gari.....ka flati skrini kadoonyo kamoja tu....afu hakuna AC aisee...
 
Baga mbona hata bongo zipo....nenda Stiaz ukapate chiiz baga.

Kama huwezi kuafodi za Stiaz ingia uswazi. Vibanda vya baga kibao. Jero tu unakamata baga yako kama triple baconator ya Wendy's, Burger King, Hardee's, au Micky Dee's
 
Wachangie next time wapate ukumbi unaoona unafaa.
 
Baga mbona hata bongo zipo....nenda Stiaz ukapate chiiz baga.

Kama huwezi kuafodi za Stiaz ingia uswazi. Vibanda vya baga kibao. Jero tu unakamata baga yako kama triple baconator ya Wendy's, Burger King, Hardee's, au Micky Dee's
uswazi hamna baga......
...

afu majuu mnatumia mikorogo aisee....
 
kweli mkuu yoyo unajua kuponda'kwani kuna mtu alikuambia kule wanaokota hela barabarani?
 
kweli mkuu yoyo unajua kuponda'kwani kuna mtu alikuambia kule wanaokota hela barabarani?
Arifu majuu majuu bana....kule mashopingi moli ,Ma Plaza ya kumwaga....afu kule watu wanaishi kwenye Maapatimenti, mariili esteti broka, mabangaloo, na maskai skrepa!......
 
Arifu majuu majuu bana....kule mashopingi moli ,Ma Plaza ya kumwaga....afu kule watu wanaishi kwenye Maapatimenti, mariili esteti broka, mabangaloo, na maskai skrepa!......

Umesahau ma sub divisions, ma town homes na ma town houses, ma condominiums, ma high rises, ma gated communities,

Mikoko ya nguvu kama 2012 Mustang GT, 2012 Chrysler 300 hebu icheki hapo Chrysler 300
 
Wanamwezesha huyo underground nae anunue mkoko.
 
Huyo anaeimba nini nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…