Wabongo wa London kweli mmechoka

kumbe ulinyimwaga viza,pole naona unajipa matumaini kuwa ni kubaya ili usijione ni looser..........london tunakula marahaaaaaa.....baki nalo limekuganda hilo..
 
hatuheshimiani sababu hatujuani!......heri yao waifanyayo JF kijiwe!
 
duh, ukistaajabu ya Musa, utaona ya wahenga.
 

...lol...hahahaha, picha ya hii thread ina ujumbe fulani zaidi ya aliouleta Yo Yo,
anyway, acha wavunje mifupa bana...yule dada kule nyuma kwenye spika, mnh!?
 
Siwapendi jumla si ndo walotudanganya wameandaa maandamano ya kumpinga jamaa. akina mwingereza na hatimae hata jf siwaoni tena.
 
Mlitaka aperfom wapi?... Wembley?
Au MSG?... Hapo panatosha, promota hata hela ya nauli hawezi kurudisha.
 

Hivi wakati wa winter kuna haja ya AC?
 
job true true hivi walishaacha kupigia disko kwenye makanisa..
 
bongo ka mtoni haina haja ya kulilia kwenda huko saka mapene mkuu ujenge shavu liwe nene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…