Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza???
Sishangai hata huo ukumbi wenu kama parking ya gari......
Alafu aisee......huwezi kuamini kama hapo ni majuu....wabongo hata majuu hamuivi?? ngozi iko smuthu kama vile mnaishi mburahati bana? wabongo majuu ya US wanang'ara kichizi......

Arifu aisee mie tena mtu wa kuhate? kwani si umeona hapo palivyo sikutegemea kama ninavyoiskia majuu.....yoyo stop hating!! Appreciate...,
Wewe ndio yule aliejipiga mkorogo? natafuta viza nikija msipeleka kwenye miduara kwenye parkingkumbe ulinyimwaga viza,pole naona unajipa matumaini kuwa ni kubaya ili usijione ni looser..........london tunakula marahaaaaaa.....baki nalo limekuganda hilo..
Sio London, kule kumechoka! Karibu Ufini!London? ngoja nitest zali la viza tena.... nikija mkuu usipeleke kwenye hizi club za parking......
Yes Indeed! Kwa mablonde wa ukweli...Bado uko Tampere?
Siwapendi jumla si ndo walotudanganya wameandaa maandamano ya kumpinga jamaa. akina mwingereza na hatimae hata jf siwaoni tena.
Hapana arifu.....kweli viza pale ubalozini nimedunda mara kibao jamaa wananipa mashuti kama ya Hamisi gaga.....lakini mazee mimi najua majuu mnakula happy aisee....full bata bonge la wetha.....mibarafu miksa mabaga na mapizza na soda za kopo za kumwaga....
...
sasa hii picha cheki ukumbi kwanza kama parking ya gari.....ka flati skrini kadoonyo kamoja tu....afu hakuna AC aisee...
iPO WAPI?
Yes Indeed! Kwa mablonde wa ukweli...
arifu umezichanga aiseee....
hakuna tax return bongoland....nchi ya kimagumashi sana hii..
alafu wakija bongo utasikia nimetoka kupiga shoo uk nini shoo ilikua na nyomi kibao watu wa nchi mbalimbali yani ilikua full shangwe...mbele watu wananikubali sana...hahahahahahah kumbe ndo hivi...ukumbi umepambwa na maua ya kipaimara pumbaf kabisa
Wewe mkazi wa wapi? Kwanza hakuna ukumbi waitwa 'equetorial grill', kuna Equator Grill maeneo ya TMK.