Wabongo wa London kweli mmechoka

AC na winter la miezi hii au unamaana heater!
 
lol.......... tena hii itakuwa aliperfom kwenye bday party 2 teh.
 
kwani LONDON KUNA UKUMBI MMOJA TU MKUU? TEMBEA UONE... MAJUU NI KAMA DAR KWA WALE WAISHIO MIKOANI USIISHI DUNIA YA KUFIKIRIKA..HATA MBINGUNI KUNA SEATING KULINGANA NA HADHI ZA WATU..LONDON NA MAENEO MENGINE YA UK KUNA KUMBI KULINGANA NA HADHI ZA WATU NA KIPATO NDIO KIGEZO KIKUBWA USIDHANI WOTE WALIO ULAYA NA MAREKANI WAPO NJEMA, KUNA WENGINE MAISHA NI LUMBA KULIKO MKAZI WA TANDALE KWA BI PAKA MKUU..HAYO NI MAISHA YA KAWAIDA USITARAJIE MAISHA KATIKA DUNIA NYINGINE YANATOFAUTIANA SANA NA HAPO ULIPO..HASHA...
 
London hakuna wabongo wa hivyo labda uniambie Milton Keynes, tena kule maeneo ya viwandani kwenye nyumba za bei rahisi
 

sikujua hadi mbinguni kuna matabaka mkuu
 
London hakuna wabongo wa hivyo labda uniambie Milton Keynes, tena kule maeneo ya viwandani kwenye nyumba za bei rahisi
kwa hiyo mkuu unasema kuwa hiyo picha ni photoshoped?
 
Mnanikata mbavu nyie hahaha, mlitaka akatumbuize kwenye ukumbi wanaofikia wakina beyonce na shakira sio, subutu
 
Na pengine ata si ulaya iyo mbona tunafanya maharusi kwenye maholi makubwa tu
 
yoyo mwenyewe sijui wa mbagala,
chicken nugget anaita baga
 
Wacheni uongo, hivi mnafikiri London ni pa-nchezo? Au mnapasikia tu? Kwanza huyu msanii mwenyewe ameenda kufanya hiyo show kwenye ukumbi ambao ni size yake, mlitaka aende The Royal Albert Hall au Wembley? Then hao watu wakuja kumwona hata 100 hawafiki? Kichekesho kikumbwa, mtapasuka msamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…