chiko mkunungu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 729
- 646
oya mjomba ngabu niaje kiongizi wetu raisi wetu wa kubeba mabox...Wee jamaa yaelekea ulikuwa na usongo sana wa kuondoka halafu labda ukanyimwa visa basi na ndoto zako za kwenda majuu zikafilia mbali.
Huachi kufatafata wabongo wa majuu. Pole.
Unajipendekeza tu kila mitandaoni laki sija sikia umerudi kwenu sijui hauna passport au mkimbizi wenda huna kazi na pesa za kurudi home.maana kila siku unajisifia ohh usa ohh bagger onhh trump sijawahi kusikia unase nilikuwa bongo bla bla bla nyingiMimi hata kuijua hiyo mikorogo siijui.
Air Condition ni kwaajili ya baridi tu?Hivi wakati wa winter kuna haja ya AC?
Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza???
Sishangai hata huo ukumbi wenu kama parking ya gari......
Alafu aisee......huwezi kuamini kama hapo ni majuu....wabongo hata majuu hamuivi?? ngozi iko smuthu kama vile mnaishi mburahati bana? wabongo majuu ya US wanang'ara kichizi......
Punguza majungu kijana....!Aisee wabongo Majuu ya London kweli choka mbaya......yaani aisee mmezichanga na kumleta huyu jamaa aje kuwatumbuiza???