Wabongo wafungwa jela miaka 15 kwa kuiba betri za bombadia

Wabongo wafungwa jela miaka 15 kwa kuiba betri za bombadia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Afrika hadi raha!!! Jamaa wameamua hawatasubiri hadi zianze kuleta faida, wameamua wajilpe chao mapema.

img_1730-jpg.1093165
 
Afrika hadi raha!!! Jamaa wameamua hawatasubiri hadi zianze kuleta faida, wameamua wajilpe chao mapema.

img_1730-jpg.1093165
Tunaongeza Airbus zingine 2,dreamliner moja na bomba 1 ,Habar Kama hii najua inaumiza sana tu lakin hatuna lakukusaidia
 
Tunaongeza Airbus zingine 2,dreamliner moja na bomba 1 ,Habar Kama hii najua inaumiza sana tu lakin hatuna lakukusaidia

TUNASEMA HAKUNA NAMNA YA KUWAONEA HAYA HAWA WATU NA CHUKI ZAO LAZIMA WAVIMBEEE, MAANA SOKO LETU LA NDANI ATCL PERFORMS BETTER THAN ANY OTHER AIRLINE,.YAANI SOKO LETU LA NDANI LINAFAIDA SANAA ss mwezi wa sita tuna anza kwenda hapo kwa madiba mdogo mdogo tutakwenda swa tu
 
Back
Top Bottom