Wabongo wanaotafuta maisha nchini Afrika ya Kusini

Wabongo wanaotafuta maisha nchini Afrika ya Kusini

Kijana hana fikra zingine kukaba tu ndio apate mtaji khaa safati yake ni ndefubsanaa.....anfetulia bongo kuna chuo DMI asome mwakatu apate certificate anakula mrli safiii akiwa Afisa....kazi atazikuta huko kugonga kutu kwenye meli na kazi zingine.....anatambulika seaman kabisa.....kuzamia karne hii .....ataishia nyuma mlima kama alivyosema
 
Maisha huko huwa magumu sana kwa hao jamaa mwisho huishia kuajiriwa kuuza bangi na unga na usually m-bongo na uaminifu ni maji na mafuta huwadhulumu matajiri zao na kuishia kupigwa chuma!

Case nyingi za vijana wa k-Tz wanaouwawa South ni wizi (ukabaji) pamoja kukosa uaminifu!
 
Back
Top Bottom