Wabongo wanapenda sana UDAKU... Nami kwenye fursa sipitwi

My ribs. Ni kwa bahati mbaya sana sijakutana na hizo picha! I wish I had a look on them ila buku mbili ni kesi nyingine aisee.
 
Sijui kwa nini hata sina muda na hizo kitu, nafikiri ni mimi tuu mwenye simu janja na sijaona. Kama ya Gwajima nilisikia tuu na nadhani mimi ndo sikuona!

Cha ajabu nashangaa watu wanavyohangaika kusaka video!
 
Halafu hao ni me ndiyo kazi zao
 
Safi sana mama.
Hapo ulipo....ndipo sehemu sahihi, hivyo simama hapo hapo!

Back
Top Bottom