Wabongo wengi wana shobo sana



Nilishawahi kusema hapa

 
Shobo zipi jaman


Hebu kwanza eleza nini maana ya SHOBO?
 

Huna ufahamu na unachokiongea hivyo hoja yako iko sahihi kwa kiwango cha ufahamu wako !
 
Shobo si zinaanza humu wale wa wanaomix maandiko na kingereza ndo wanajikuta wana elimu kuliko wenzao
 
Shobo si zinaanza humu wale wa wanaomix maandiko na kingereza ndo wanajikuta wana elimu kuliko wenzao
Umeona eeeh! Halafu mkuu unaishi Ulaya ila huki entertain sana kiingereza. Uzalendo kwanza.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Heshima yako mkuu kuhani wa hekalu jeusi![emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Kubaguana kwenye jamii kupo, hata ngozi nyeusi wenyewe kwa wenyewe wanabaguana........ndo maana kuna classes za watu wa maisha ya juu na yale ya uswazi.
 
Ukiona umebaguliwa ujue anaekubagua kaona huna umuhimu kwake, Na sio kila mmoja anaweza kuona umuhimu kwako kwahiyo vitu vingine ni kupotezea tu na kufanya kilicho best atakaekuona una umuhimu unaishi nae, asieona unampotezea.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
 
Hili karipio kali linawahusu hadi waTz wanaobaguliwa hapo Ukraine kwenye vita??
 
Inawezekana. Ninaishi nao kwao hivyo nafahamu kinachojadiliwa kwa uhalisia siyo kwa kuangalia kwenye Tv na kusoma kwenye magazeti.
Uhalisia kama upi? Kwamba nawasingizia Wabongo kuwa na shobo nao? Hata ukiishi nao 50 yrs wao watabaki kuwa wao na wewe utabaki kuwa wewe. Kuishi nao si tiketi ya kutobaguliwa.

Usijipendekeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…