A
Anonymous
Guest
Waboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura Kigoma wanyimwa posho ya usafiribkiasi cha shilingi 90,000/= kwa kila mshiriki.
Wadau walihoji kabla ya kuanza kwa zoezi la uandikishaji juu ya malipo ya pesa hiyo 10,000/= ndani ya siku tisa za kazi hakika majibu ya viongozi hayakua rafiki na mwisho wa siku waliambiwa hawatalipwa.
Washiriki walihoji na kusoma tangazo la ajira ambalolilitolewa na Mkurugenzi wa tume huru lakini wasimamizi wa zoezi waliendelea kupinga na hadi jana 27/07/2024 washiriki wamekabidhi vifaa na kutawanyika bila kupewa mrejesho na pesa yao.
Tuna muomba mkurugenzi wa tume huru alitolee ufafanuzi suala hili na ikiwezekana tulipwe posho yetu.