Pre GE2025 Wabunge 19 mliofukuzwa CHADEMA, kwanini mnatumia njia ndefu kujiunga na CCM?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Hakika wale wabunge 19 wa tume ya uchaguzi na bunge(halima na wenzake 18) naona wanatumia njia ndefu sana kujiunga na ccm.

Wabunge hao kwa mujibu wa katiba iliyopo walipaswa wasiwe wabunge kwani walipoteza sifa kwa kuwa walikuwa sio wanachama wa chadema baada ya kufukuzwa.

Lakini kutokana na kuwa wapo bungeni kimkakati wa kuilinda serikali dhidi ya wahisani CCM kupitia bunge haikuwafukuza ikawashauri wakate rufaa kupinga kufukuzwa kwao ili kuchelewesha mchakato wa kuwafukuza.

Kwa kuwa mungu siku zote yupo pamoja na wanyonge wanaoonewa bado mahakama ilibariki kufukuzwa kwao na chadema lakini bado tena bunge halitaki kuwaondoa bungeni licha ya hukumu ya mahakama kuu kutolewa. Bunge linaloongozwa na dr. Wa sheria bado hataki kuiheshimu katiba. Wabunge hao wameamua tena kukata rufaa ili waendelee kuwa bungeni nadhani safari hii hukumu ya rufaa hii tuitarajia 2027.

Nimekuwa najiuliza

Kwanini halima na genge lake wanatumia njia ndefu ya kupitia mahakama kujiunga na CCM?

Kwanini wasijiondoe tu chadema kisha wakasubiri siku bw.Makonda au nchimbi anahutubia na wao siku hiyo hiyo wakatangaza kujiunga na ccm. Kwa kuwa ccm inawapenda sana iwape teuzi katika nafasi mbalimbali kuliko haya masuala ya kufungua kesi ni usumbufu kwa wafuasi wao kwenda mahakamani.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Wanawachekecha chadema mpaka wabaki vumbi
 
Hakika Wale WABUNGE 19 Wa TUME ya UCHAGUZI na BUNGE(HALIMA na WENZAKE 18) naona Wanatumia NJIA NDEFU sana KUJIUNGA na CCM.
Wabunge hao kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo Walipaswa wasiwe Wabunge kwani WALIPOTEZA sifa kwa kuwa walikuwa SIO WANACHAMA wa CHADEMA baada ya kufukuzwa.Lakini kutokana na Kuwa wapo BUNGENI kimkakati Wa kuilinda SERIKALI dhidi ya WAHISANI CCM kupitia BUNGE haikuwafukuza ikawashauri Wakate RUFAA kupinga Kufukuzwa kwao ili KUCHELEWESHA mchakato wa Kuwafukuza.Kwa Kuwa MUNGU siku zote yupo pamoja na WANYONGE Wanaoonewa Bado Mahakama ilibariki KUFUKUZWA kwao na CHADEMA lakini bado tena BUNGE halitaki kuwaondoa Bungeni licha Ya HUKUMU ya MAHAKAMA KUU kutolewa. BUNGE linaloongozwa na DR. Wa Sheria bado Hataki kuiheshimu KATIBA. Wabunge hao Wameamua tena kukata RUFAA ili waendelee kuwa BUNGENI nadhani safari hii Hukumu ya RUFAA hii tuitarajia 2027.
Nimekuwa najiuliza
Kwanini HALIMA na Genge Lake Wanatumia njia ndefu ya kupitia Mahakama kujiunga na CCM?
Kwanini Wasijiondoe tu CHADEMA kisha Wakasubiri SIKU Bw.MAKONDA au NCHIMBI anahutubia na wao siku hiyo hiyo WAKATANGAZA Kujiunga na CCM. Kwa kuwa CCM inawapenda sana IWAPE TEUZI katika NAFASI MBALIMBALI kuliko haya Masuala ya kufungua KESI ni USUMBUFU kwa Wafuasi wao kwenda MAHAKAMANI.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Wewe nyumbu ebu weka hapa orodha ya wabunge 19 wa viti maalum unaowajua wewe kupitia Chadema ili tuone kama una akili.
 
Kisheria unapokata rufaa unatakiwa uwe nje ya Bunge mpaka rufaa yako itakaposikilizwa na kutolewa uamuzi. Huo ndiyo utaratibu wa kisheria.
 
Si kweli, Not guilty until proven
 
Hakika wale wabunge 19 wa tume ya uchaguzi na bunge(halima na wenzake 18) naona wanatumia njia ndefu sana kujiunga na ccm.

Wabunge hao kwa mujibu wa katiba iliyopo walipaswa wasiwe wabunge kwani walipoteza sifa kwa kuwa walikuwa sio wanachama wa chadema baada ya kufukuzwa.

Lakini kutokana na kuwa wapo bungeni kimkakati wa kuilinda serikali dhidi ya wahisani CCM kupitia bunge haikuwafukuza ikawashauri wakate rufaa kupinga kufukuzwa kwao ili kuchelewesha mchakato wa kuwafukuza.

Kwa kuwa mungu siku zote yupo pamoja na wanyonge wanaoonewa bado mahakama ilibariki kufukuzwa kwao na chadema lakini bado tena bunge halitaki kuwaondoa bungeni licha ya hukumu ya mahakama kuu kutolewa. Bunge linaloongozwa na dr. Wa sheria bado hataki kuiheshimu katiba. Wabunge hao wameamua tena kukata rufaa ili waendelee kuwa bungeni nadhani safari hii hukumu ya rufaa hii tuitarajia 2027.

Nimekuwa najiuliza

Kwanini halima na genge lake wanatumia njia ndefu ya kupitia mahakama kujiunga na CCM?

Kwanini wasijiondoe tu chadema kisha wakasubiri siku bw.Makonda au nchimbi anahutubia na wao siku hiyo hiyo wakatangaza kujiunga na ccm. Kwa kuwa ccm inawapenda sana iwape teuzi katika nafasi mbalimbali kuliko haya masuala ya kufungua kesi ni usumbufu kwa wafuasi wao kwenda mahakamani.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
wanasubiri bunge livunjwe wavute parefu ndiyo waingie CCM live japo mpk sasa wapo CCM 95%
 
Back
Top Bottom