KWA YANAYOENDELEA NCHI HII INAONEKANA KAMA SERIKALI KUFANYA MAMBO YA KIMAENDELEO NI KAMA WANAFANYA HISANI KWETU,HAWAJUI NI MATUMIZI YA KODI ZETU
UMEME NAO TANESCO WANATUGAWIA KAMA VILE TUNAPEWA MSAADA
wao si hapati shidaKweli kabisa, mambo mengi ya ovyo yanayoendelea Nchini wao wapo kimya kana kwamba hawaoni. Ole wao.
Hakika ccm kweli mmezoea kushikiwa fimbo kama farasi.Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.
Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya.
Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe ACT, wawe CHADEMA, CUF nk kama watakashinda kwa haki tutawapa ubunge.
Trillion 1.3 mko kimya
Ujenzi wa madarasa, zahanati, hospitali kila kombo mko kimya
Mabilioni ya misaada kutoka nchi wahisani mko kimya
Kupanga wa machinga mko kimya
Sasa endeleeni kufurahia ka mwisho mwisho
Chanjo ya korona mko kimya
Kila mtu atasimama na hesabu yake itasomwa endeleeni kukaa kimya wabunge
Tusilaumiane
Eti jamaa anawalazimisha wasifie nchi kwa kuomba omba mikopoCCM ni pango la majangili
Wao aliye wapeleka bungeni tayari keshapiga mwendo hivyo hawaoni nini sababu ya kuhangaika na mambo ya dunia.Kweli kabisa, mambo mengi ya ovyo yanayoendelea Nchini wao wapo kimya kana kwamba hawaoni. Ole wao.
90% hawana hata ndoto ya kurudi bungeni maana wanajua jinsi ubunge wao ulivyo patikana.Unatupa siri kuwa hawatagombea ndo mana wako kimya
Unaanzaje kuishukuru serikali kisa imetekeleza miradi wakati huo ndio wajibu wake.Sio kusifia ila miradi ya maendeleo inaendelea kwenye Majimbo yao hatuwasikii wakishukuru serikali
Wengi wana ndoto ila hawataki kuwajibbika90% hawana hata ndoto ya kurudi bungeni maana wanajua jinsi ubunge wao ulivyo patikana.
Baba ni wajibu wake kukuletea chakula lakini lazima useme AsanteUnaanzaje kuishukuru serikali kisa imetekeleza miradi wakati huo ndio wajibu wake.
Mnalipishwa kodi ili ziende zikatekeleze hiyo miradi ya maendeleo alafu unasema unaisifu serikali kwa kutekeleza miradi wakati fedha ni mali yako?
UmewashtuaWabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.