Wabunge CCM wana U-Magufuli mwingi kuliko U-CCM

Najaribu kujiuliza kidogo tu; hivi kuna mwingine ambaye alikufa lakini mzimu wake bado unasumbua siasa za nchi kama Magufuli? Imagine mtu hana uwezo wa kujijitea but still watu bado wanabishana as if mwenyewe bado yupo yaani!

Mzimu wa uovu na ushetani uwa unasumbua. Tangu lucefer alipokuwa muovu anasumbua dunia hata sasa.

Wakoloni wameondoka miaka mingi lakini maovu na ushetani wao unatusumbua hadi leo bado tunatumikia madhara ya utumwa.

Baba wa Taifa hata sasa tunamkumbuka kwa pamoja bila migawanyiko kama Taifa moja kwa sababu hakutuachia mizimu ya uovu na ushetani wa kuisumbua nchi yetu.

Ukiondoka katika Amani na haki, Amani na Haki vinashamiri. Ukiondoka katika uovu na ushetani, mizimu ya uovu na ushetani inashamiri na kusumbua.

Hili ndo linaisumbua nchi, majibu ya uovu na ushetani hayajapatikana, tutaendelea kusumbuana hata tone la mwisho mpaka tuhakikishe hata waumini wake aliokuwa anawalisha mazao ya uovu na sasa wamenenepa wasijue la kufanya bali kuulilia huu mzimu nao wanaangamia wote.
 
Asante sana kwa elimu nzuri mkuu, leo ndio nimeelewa kwamba Lucefer kumbe alikufa, wakoloni nao walikufa na ndio maana hadi leo wanasumbua, thanks very much brother for the nice education, sitachoka kuendelea kujifunza
 
Bandiko lina ukweli mwingi.
 
Maloto, Rais akifia madarakani awe amefanya unayosema kafanya JPM au hajafanya lazima mpasuko uwepo kwa walioamini falsafa za Rais huyo against wanaopinga. Mpasuko usingetokea basi nchi ingekuwa ya ajabu maana lazima mpishane mawazo...

Inaonekana unaamini kwenye ushirikina, ndio maana hujakubaliana na kusikia baadhi ya mbinu za Magufuli kukabiliana na Covid zilikuwa za kishirikina.

Anyway sishangai sana kama umekulia kijijini au kwa wazazi wanaoamini ushirikina ni rahisi kuathirika na mazingira hayo.
 
Asante sana kwa elimu nzuri mkuu, leo ndio nimeelewa kwamba Lucefer kumbe alikufa, wakoloni nao walikufa na ndio maana hadi leo wanasumbua, thanks very much brother for the nice education, sitachoka kuendelea kujifunza
Naaaam.....🤙 Ukihitaji ufafanuzi zaidi wa vifo vyao, ni-tag niko standby

Na Mwl. Nyerere naye pia alikufa....... umesahau kumtaja...... najua ni kwa bahati mbaya🤣
 
Huna jipya hii ni Project Kinana & Msoga.

Tunawaona...
tunawafahamu.....
Tunanazijua mbinu zenu za kizamani......

Mtandao kuelekea 2025.

Tukutane kwenye BOX!
Tutakutana kweli kwenye box 2025kwa sababu magufulism wote na maharamia walionunuliwa na kina bashiru tutawakata ataeshinda kura ya maoni ndie ataepitishwa kugombea.
 
Na wewe uwe unaelewa unachokisoma sio unakurupuka kuandika tu kama poyoyo tu. Mnatujazia maandishi yasiyokuwa na maana humu.
 
Lazima wawe na Umagufuli kwa sababu wao ni zao la uovu. Hawakuchaguliwa na wananchi, hawakuchaguliwa na wajumbe wa CCM, wote walipachikwa na dikteta marehemu Magufuli. Kwa nini wasimsujudu aliyesimamia uovu uliowapa wao nafasi ya kuiba pesa ya umma?
 
Na wewe uwe unaelewa unachokisoma sio unakurupuka kuandika tu kama poyoyo tu. Mnatujazia maandishi yasiyokuwa na maana humu.

Umekuja na marking scheme nini descpline master?
 
Unatumia nguvu kubwa kumchafua Magufuli ambaye alikwishapumzika. Mbona humsemi alowang'oa watu meno na kuwatupa Mabwepande? Au kwa vile bado yup hai unaogopa kushughulikiwa iwapo utamsema?
 
Huna jipya hii ni Project Kinana & Msoga.

Tunawaona...
tunawafahamu.....
Tunanazijua mbinu zenu za kizamani......

Mtandao kuelekea 2025.

Tukutane kwenye BOX!
Box? Labda box la ndomu!! Yaan asilimia 75 hawatorud bungeni 2025.
 
Toa credit kwa mwandishi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…