Elections 2010 Wabunge chadema ni serikali tosha...!

Elections 2010 Wabunge chadema ni serikali tosha...!

HisiaZAkweli

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
36
Reaction score
8
Nimependezwa na Majina ya wapiganaji walioingia BUNGENI kupitia chama cha chadema.....tunatangaza kusimamia utawala wa haki ,sheria na uhuru wa wazawa. Kikosi kinajitosheleza sana kuleta mabadiliko tanzania..... HONGERA KWA WANANCHI walioielewa falsafa yetu,hakika wengi zaidi watazidi kuielewa
 
Back
Top Bottom