J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Apr 24, 2023 #1 Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa Mungu wa mbinguni awabariki Chanzo: Clouds Media
Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa Mungu wa mbinguni awabariki Chanzo: Clouds Media
mbenge JF-Expert Member Joined May 15, 2019 Posts 4,864 Reaction score 10,483 Apr 24, 2023 #2 johnthebaptist said: Wabunge maarufu wa viti Maalum Chadema Halina Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa Mungu wa mbinguni awabariki Source: Clouds Media Click to expand... Bwashee, una uhakika kuwa hao ni wabunge wa CDM ama ndiyo kujitoa ufahamu kwenyewe huko!?
johnthebaptist said: Wabunge maarufu wa viti Maalum Chadema Halina Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa Mungu wa mbinguni awabariki Source: Clouds Media Click to expand... Bwashee, una uhakika kuwa hao ni wabunge wa CDM ama ndiyo kujitoa ufahamu kwenyewe huko!?
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Apr 24, 2023 #3 Naomba kujiunga na hilo kanisa ila niwe mtunza hazina. Mimi ni mcha Mungu kutoka Kilimanjaro, sijawahi kuiba shilingi ya mtu.
Naomba kujiunga na hilo kanisa ila niwe mtunza hazina. Mimi ni mcha Mungu kutoka Kilimanjaro, sijawahi kuiba shilingi ya mtu.
L Leonardo Harold JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 1,088 Reaction score 2,122 Apr 24, 2023 #4 hivi ni mapacha au ? maana wapo "beneti" kila mahali
Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 53,857 Reaction score 121,995 Apr 24, 2023 #5 johnthebaptist said: Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa Mungu wa mbinguni awabariki Source: Clouds Media Click to expand... wabarikiwe sana. p
johnthebaptist said: Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa Mungu wa mbinguni awabariki Source: Clouds Media Click to expand... wabarikiwe sana. p
A ambagae JF-Expert Member Joined Mar 2, 2009 Posts 3,334 Reaction score 1,385 Apr 24, 2023 #6 kibobori mahoro said: Naomba kujiunga na hilo kanisa ila niwe mtunza hazina. Mimi ni mcha Mungu kutoka Kilimanjaro, sijawahi kuiba shilingi ya mtu. Click to expand... Lipo pia kanisa la mchungaji Mashimo
kibobori mahoro said: Naomba kujiunga na hilo kanisa ila niwe mtunza hazina. Mimi ni mcha Mungu kutoka Kilimanjaro, sijawahi kuiba shilingi ya mtu. Click to expand... Lipo pia kanisa la mchungaji Mashimo
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 3,984 Reaction score 5,820 Apr 24, 2023 #7 Ni jambo jema kuchangia jamii.
Fortilo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,807 Reaction score 17,416 Apr 24, 2023 #8 Hujazungumzia mawazir wawil kuchangia 32M .. ujenz wa kanisa. Mkiambiwa nchi ina hela muwe mnaelewa.