Wabunge hawaonekani majimboni, mko wapi? Au kwetu tu?

Wabunge hawaonekani majimboni, mko wapi? Au kwetu tu?

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa. Hata vikao vya Jimbo hayupo. Chawa wake siwaoni. Huko kwenu vipi?
 
Majimbo ya Dar es Salaam watakuwa wanawaona muda wote
 
Tangu waraka wa TEC uwapige na kitu kizito hawana hamu tena.
Screenshot_20230822-175305_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom