D Danielmwasi JF-Expert Member Joined May 3, 2021 Posts 2,134 Reaction score 3,834 Aug 22, 2023 #1 In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa. Hata vikao vya Jimbo hayupo. Chawa wake siwaoni. Huko kwenu vipi?
In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa. Hata vikao vya Jimbo hayupo. Chawa wake siwaoni. Huko kwenu vipi?
D Dawa ya Uvccm JF-Expert Member Joined Aug 3, 2021 Posts 2,223 Reaction score 4,717 Aug 22, 2023 #2 Danielmwasi said: In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa . ATA Vikao vya Jimbo hayupo . Chawa wake siwaoni . Huko kwenu vipi ? Click to expand... waje tuwazomee
Danielmwasi said: In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa . ATA Vikao vya Jimbo hayupo . Chawa wake siwaoni . Huko kwenu vipi ? Click to expand... waje tuwazomee
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Aug 22, 2023 #3 Tangu waraka wa TEC uwapige na kitu kizito hawana hamu tena.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 23, 2023 #4 Majimbo ya Dar es Salaam watakuwa wanawaona muda wote
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,689 Reaction score 25,848 Aug 23, 2023 #5 othuman dan fodio said: Tangu waraka wa TEC uwapige na kitu kizito hawana hamu tena. Click to expand...
othuman dan fodio said: Tangu waraka wa TEC uwapige na kitu kizito hawana hamu tena. Click to expand...
Nedd Ludd Senior Member Joined May 16, 2023 Posts 143 Reaction score 257 Aug 23, 2023 #6 [emoji23][emoji23] wajitokeze tuwazomee.