chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 2,097
- 1,457
Uchawa haulipi. Nisifa tu kwa wahuni.
Waheshimiwa Wanasiasa jifunzeni uwajibikaji kwa hawa waliowadogo:
1: Mbunge Waitara kutoka Tarime vijijini, Serikali'' ilipomjibu majibu mepesi kwa maswali magumu, uongo kwenye uhalisia alikataa mchana kweupe, hicho ndo tumewatuma mkafanye na sio kupigwa makofi!
2: NJOMBE: Wenyeviti wa Vitongoji 3 pamoja na Wajumbe 7 wa Serikali ya Kijiji cha Uhambule, Halmashauri ya Wanging'ombe wamejiuzulu kwa madai ya kuwa Serikali imeshindwa kupeleka Nishati ya Umeme kwenye maeneo yao licha ya kuahidiwa kwa muda mrefu
Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Claudia Kitta amewataka Viongozi hao kurejea kwenye majukumu yao kwa kuwa Serikali inaendelea kutoa Huduma hiyo na imekusudia kufikisha Umeme kwenye kila kitongoji
Soma Njombe: Viongozi wa kijiji wajiuzulu kisa serikali kushindwa kuwapelekea umeme
#JFHuduma #JFUwajibikaji23