johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania
Kwa mfano CHADEMA ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya Kwanza Wana Wabunge 165 na Azimio wabunge 164 tofauti ya mbunge mmoja japo kuna majimbo mawili matatu uchaguzi uliahirishwa
Bavicha mna la kujifunza kule Kenya