johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kenya 🇰🇪hakuna vyama vya siasa kama Tanzania🇹🇿. Kule kuna wafuasi wa mtu/mgombea. Vile mgombea huwakilisha kabila, ndiyo tofauti iliyopoKuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania
Kwa mfano Chadema ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya Kwanza Wana Wabunge 165 na Azimio wabunge 164 tofauti ya mbunge mmoja japo kuna majimbo mawili matatu uchaguzi uliahirishwa
Bavicha mna la kujifunza kule Kenya
Jo wenzako wanafanya uchaguzi,wenzangu na mie,akina Jo wanafanya uchafuzi halafu unazileta tathimini uchwara humu🤔.Wewe wa wapi vile,kiburugwa au kimbangulile 🏃Kuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania
Kwa mfano Chadema ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya Kwanza Wana Wabunge 165 na Azimio wabunge 164 tofauti ya mbunge mmoja japo kuna majimbo mawili matatu uchaguzi uliahirishwa
Bavicha mna la kujifunza kule Kenya
Bila shaka wachafua uchaguzi 😆Naamini hapa unawaambia ccm
Hiyo Kenya mnayoitamani inakuja hivi karibini.Usilinganishe Kenya na mambo ya ujinga ujinga yaliyopo Tanzania. Nchi ya watu wenye akili hawawezi kuruhusu mbweha 19 wawepo bungeni
CDM ina Mbuge 1 kwa uchaguzi upi uliofanyika, kuna wakati huwa unawaza kwa kutumia nini wewe johnthebaptist ?Kuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania
Kwa mfano Chadema ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya Kwanza Wana Wabunge 165 na Azimio wabunge 164 tofauti ya mbunge mmoja japo kuna majimbo mawili matatu uchaguzi uliahirishwa
Bavicha mna la kujifunza kule Kenya
Tatizo ni hao 370 sio hao 19.Usilinganishe Kenya na mambo ya ujinga ujinga yaliyopo Tanzania. Nchi ya watu wenye akili hawawezi kuruhusu mbweha 19 wawepo bungeni
Ina maana hutambui maono ya dada yako mbeba mhimili wa nyumba ya pale Dodoma. Chadema 1+19.Kuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania
Kwa mfano Chadema ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya Kwanza Wana Wabunge 165 na Azimio wabunge 164 tofauti ya mbunge mmoja japo kuna majimbo mawili matatu uchaguzi uliahirishwa
Bavicha mna la kujifunza kule Kenya
Yule ngiri wenu Mahera kawaambia Kenya waje wajifunze huku.Kuna tofauti kubwa sana kati ya Demokrasia ya Kenya na Tanzania
Kwa mfano Chadema ni chama kikuu cha Upinzani lakini kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa
Wenzetu Kenya kwa akina IEBC wale Kenya Kwanza Wana Wabunge 165 na Azimio wabunge 164 tofauti ya mbunge mmoja japo kuna majimbo mawili matatu uchaguzi uliahirishwa
Bavicha mna la kujifunza kule Kenya
Huyo mbunge alifanyiwa kampeni na Tundu Lisu kule Nkasi kisha akamkabidhi TAL zawadi ya jogooCDM ina Mbuge 1 kwa uchaguzi upi uliofanyika, kuna wakati huwa unawaza kwa kutumia nini wewe johnthebaptist ?
Kwani uwongo?!Yuke ngiri wenu Magera kawaambia Kenya waje wajifunze huku.
unawaza kwa kutumia haja kubwa.Kwani uwongo?!
Kwenye kumtangaza Rais ndio waje kujifunza
Ya kwakounawaza kwa kutumia haja kubwa.
We jamaa ni f.ala sana,Bavicha mna la kujifunza kule Kenya