Wabunge Kenya watapeliwa

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
April 2, 2018
Nairobi, Kenya

The man accused of conning MPs out of their cash will spend four days in police cells, a Nairobi court has ruled.

Senior Principal Magistrate Christine Njagi issued the order when Waziri Benson Masubo, alias Waziri Chacha, appeared before her on Tuesday.

The detention is meant to give police more time to investigate the case after telling the court that they were yet to wrap up their crime busting.



Hapo awali taarifa za utapeli zatanda

Idara ya ujasusi yatoa Sh20,000 kwa atakayefichua mshukiwa wa kulaghai wabunge

MKURUGENZI Mkuu wa Ujasusi(dci) George Kinoti ametoa Sh20, 000 kwa yeyote aliye na habari kuhusu aliko mwanamume aliyetuhumiwa kuwalaghai wabunge.

Benson Wazir Chacha Masubo anahitajika kwa kudaiwa kupata pesa kwa kujifanya, na kwa kutumia vitisho katika intaneti.

Bw Masubo alishutumiwa kwa kuwalaghai wabunge kwa kujifanya kuwa Mwakilishi wa Kike wa Kaunti ya Murang’a Bi Sabina Chege.

Alhamisi, Bw Kinoti aliambia Kamati ya Bunge ya Usalama kwamba baada ya uchunguzi wa kina, walibaini kuwa kulikuwa na uhusiano maalum kati ya mshukiwa na walalamishi.

“Tumefanya uchunguzi wa kina kuhusiana na suala hili na tumetamatisha kuwa kuna uhusiano maalum kati ya walalamishi na mshukiwa ambao na sihisi vyema kujadili suala hilo hadharani,” alisema Bw Kinoti.

Ni kutokana na kauli hiyo ambapo wanahabari walishauriwa kuondoka nje ili Bw Kinoti aweze kueleza zaidi.

Miongoni mwa wa waliolaghaiwa na mwanamume huyo ni Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi ambaye alimtumia Sh30,000, aliyekuwa mbunge wa Gem MP Jakoyo Midiwo (Sh20,000), na mawaziri Eugene Wamalwa (Ugatuzi), Peter Munya (Jumuia ya Afrika Mashariki), Margaret Kobia (Huduma ya Umma) na Sicily Kariuki (Afya).

Mwezi jana, mshukiwa aliweka mtandaoni picha zake alizopigwa na aliyekuwa Mwakilishi wa Kike wa Bomet Cecilia Ng’etich na kuonekana kusingizia uhusiano kati yao.

Picha hizo zilisambazwa sana katika mitandao ya kijamii. Wakati wa mahojiano, Bi Ng’etich alisema mwanamume huyo alikuwa laghai na alikuwa akitaka Sh2 milioni kwa kumtishia.

Aliwataka maafisa wa polisi kumchunguza, na kuongeza kuwa alikuwa mtu wa kutiliwa shaka.
Source : Taifa Leo
 
Jamaa alikuja kula bata na mazao ya utapeli wake huko Tanzania. 😎 Alitumia jina la mbunge wa Murang'a mrembo wa warembo mheshimiwa Sabina Chege kutapeli wabunge wenzake kupitia sms. 😎 Alikamatwa jana. Whaaat? Nina bifu na huyu jamaa. Kama si umbumbumbu wake hadi akakamatwa hizo pesa zote zilikuwa ziwe zake tu. Kutafuna hela za mafisi sio dhambi. 😀😀😀
Mbunge wa Murang'a Mheshimiwa Sabina Chege.
Mashallah! Hapa hata ingekuwa mimi eti nimetumiwa sms na 'Sabina' nitume 60k KES natuma zikiwa 120k, kwani iko nini? 😀😀😀
 
Sabina ni mbunge wa kwetu muranga..Namjua sana huyu mama malaya. Mamake kampata akiwa shughuli za danguro huko Sabina Joy. Ndio maana njina lake ni sawa na ile danguro ya kutoka zamani SJ!!
 
Sabina ni mbunge wa kwetu muranga..Namjua sana huyu mama malaya. Mamake kampata akiwa shughuli za danguro huko Sabina Joy. Ndio maana njina lake ni sawa na ile danguro ya kutoka zamani SJ!!
Kweli eeh? Sema wallahi!
Nikumbushe tena, wewe ni mbunge wa wapi?
 
Mi hushuku De Mathew amesample Hii kifaa.
 
😎
Chacha beneficiary of NYS scandal?
The Nairobian is in possession of documents, including a confidential letter from the Ethics and Anti-Corruption Commission (EACC) addressed to Chacha following the NYS scandal in the Ministry of Devolution.

The letter reads in part: “This is freezing order made against you on 22/11/2015 by the Recovery Assets Authority at hearing without notice to you after the agency was given the undertakings...You must not remove from Kenya in any way or dispose of, deal with or diminish the value of any of your assets in Kenya up to the unencumbered value of one Kenya shilling”.

Some of the listed properties include a Toyota Land Cruiser V8, Toyota Lexus and Chrysler 1540. Others are ten prime plots in Nairobi, apartment in Nairobi, club and hotel in Nairobi, resort in Mombasa, fashion house and executive mansion in Nairobi.

But Chacha denies receiving any government tender and insists that he has no criminal record.
 
Umeona hela walizotapeliwa wabunge? 50k, 70k kuna mwingine alipandwa na stimu akatuma 300k! 😀 Hahaha. Sabina atatumaliza!
Hahaa.. yule binti yake si bado yupo yupo, nataka nije nimtoe kwenye failed state aje ale mema ya Tz
 
Sabina ni mbunge wa kwetu muranga..Namjua sana huyu mama malaya. Mamake kampata akiwa shughuli za danguro huko Sabina Joy. Ndio maana njina lake ni sawa na ile danguro ya kutoka zamani SJ!!
Most women politicians huwaga hivyo, ingawa siyo wote. Wengi wanafanya kimya kimya, i kno this for a fact, case study Tz. Nilikua na manzi politician hakuna rangi ambayo siku iona!!
 
Hahaa.. yule binti yake si bado yupo yupo, nataka nije nimtoe kwenye failed state aje ale mema ya Tz
Hahaha 😀 hapo huwesmake brathee. Labda kama hupendi uhai wako. Fata akina Wairimu na Wamuyu na Wanjiru wapo wengi sana mitaa ya Nai.
 
Most women politicians huwaga hivyo, ingawa siyo wote. Wengi wanafanya kimya kimya, i kno this for a fact, case study Tz. Nilikua na manzi politician hakuna rangi ambayo siku iona!!
Ukifata maneno ya watu watakuambia chochote. Fact is, mheshimiwa Sabina is a very brilliant in the National Assembly. Serving in virtually all the important commitees health, education you name it. Very smart mind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…