WABUNGE: Kodi ya mshikamano ianzie kwenye malipo ya Wabunge yapitie kwenye simu

WABUNGE: Kodi ya mshikamano ianzie kwenye malipo ya Wabunge yapitie kwenye simu

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Wenzetu Wabunge wawe wakwanza kutumia kodi ya mshikamano kwa kulipwa kwa njia ya simu.

Kwa kuwa wabunge wana mishahara mikubwa na malupulupu kibao ipendeze kodi hii ya mshikamano kila malipo ya mbunge yapitie kwenye simu take.

Hii itasaidia kuutunisha huu mfuko wa mshikamano kwa kasi nakufikia malengo kwa haraka.
Rejea slogan ya kilimo.
Siasa ni kilimo,
Kilimo ni uti wa mgongo,
Kilimo kwanza, hatujawahi fanikiwa.

Je, kodi ya mshikamano tutafanikiwa?
 
Back
Top Bottom