Wabunge Mashabiki wa Simba, Yanga kuumana azania bank Bunge bonanza

Wabunge Mashabiki wa Simba, Yanga kuumana azania bank Bunge bonanza

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Benki ya Azania bank plc kwa mara nyingine imedhamini Bonanza la Wabunge wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania litakalowakutanisha wabunge mashabiki wa timu za Simba na Yanga litakalofanyika jumamosi hii katika viwanja vya shule ya John Merlini, Dodoma.

Soma: Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa sekta hii?

Leo hii Benki ya Azania imekabidhi vifaa kwa ajili ya Bonanza hilo,hafla ya makabidhiano hayo imefanyika Bungeni na kuhudhuriwa na viongozi na mashabiki wa timu hizo mbili kubwa.

1738303352677.png
 
Back
Top Bottom