Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Nimesikiliza jana michango ya wabunge kwa mara nyingine kuhusu suala la Bandari.
Wabunge huwa wanafikiri kwa vile wao wana kipaza sauti, basi wana akii sana, siyo hivyo.
Wabunge waeelwe kuwa wanawawakilsha wananchi kule bungeni, na wananchi ndio waajiri wao.
Na angalizo tu ni kwamba wabunge wetu waelewe kuwa ushauri toka kwa wananchi ni kwa nia njema ya Taifa hili.
Hakuna asiyependa maendeleo, na kila mtu anyetoa ushauri, lazima ushauri usikilizwe na upimwe kulingana na mazingira yake.
Suala la DPW yameongelewa mengi sana, lakini nashangaa wabunge wasio na akili nadiriki kusema wao wanafikiri ni kama pata potea, alomradi wao wamechukua posho.
Mimi binafsi wabunge wanao mshambulia Prof mama Tibaijuka nawaona ni kama mabumbumbu katika mambo mengi.
Badala ya kuchukua udhaifu wa mkataba na kushaurinamna ya kuurekebisha wao wanafanya personal attack kwa Profesa Tibaijuka.
Ukweli lazima uheshimiwe na ukweli hauna chama.
Wabunge mashaurike msiwe kama ma dinasour waliokufa kwa kukosa maarifa ya kubadilika na wakati.