masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Haya ni maoni ya mwandishi Ndg Mgamba.
Bunge na wabunge washitakiwe na wananchi kwa kupitisha mikataba inayowaibia wananchi mali nyingi za madini na biashara.
Actually ana sema ni UHAINI kupitisha mikataba inayotuibia , bila kuisoma na kutetea maslahi ya nchi.
Mimi naunga mkono msimamo huu.
TLS hapa tusaidieni kuokoa nchi kuibiwa.