masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Sawa, sasa tuchukue hatua gani kwa bunge lisiloweza kuisimamia serikali?... mkiambiwa huko chamani yamejaa majambazi sijui kwanini hamuelewi! Na ndio hao wameshikilia sehemu mbalimbali za maamuzi kuanzia halmashauri huko na maeneo mengine; ni mnyororo fulani mrefu sana.
1. KATIBA 2. KATIBA 3. KATIBA. Katiba yenye kudhibiti na kuiwajibisha mihimili yote not only Bunge. Imagine watu wamejitungia sheria ya kutoshtakiwa unawashtakije labda bila kuwa na tool mahsusi ya kufanya hivyo? Leo hii Spika na Naibu Spika hawashtakiki kokote!Sawa, sasa tuchukue hatua gani kwa bunge lisiloweza kuisimamia serikali?
Kuna mamlaka zilizo nje hata ya Bunge.1. KATIBA 2. KATIBA 3. KATIBA. Katiba yenye kudhibiti na kuiwajibisha mihimili yote not only Bunge. Imagine watu wamejitungia sheria ya kutoshtakiwa unawashtakije labda bila kuwa na tool mahsusi ya kufanya hivyo? Leo hii Spika na Naibu Spika hawashtakiki kokote!
... Mkuu you are among the very senior members humu JF na uelewa wako wa mambo kwa hoja zako humu JF sio wa kutiliwa shaka hata kidogo. Ni mangapi yameamuliwa na mahakama ulizotaja lakini yakaishia kupuuzwa? Zipo kesi kadhaa za aina hiyo.Kuna mamlaka zilizo nje hata ya Bunge.
Kwanini tusiende Mahakama ya Afrika Mashariki au ya Afrika.
Impact lazima itakuweo.