CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
"Wabunge hawa walishaamua kujitenga na CUF- Chama cha Wananchi na hawajawahi kutoa Ushirikiano kwa CUF tangu muda huo na CUF iliamua kutowafukuza ili kudhibiti matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi kwa ajili ya Chaguzi ndogo. CUF ni Chama cha Wananchi, kinatanguliza Maslahi ya Wananchi."
Eng. Mohamed Ngulangwa
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
CUF-Chama Cha Wananchi