CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
View attachment 1484343"Wabunge hawa walishaamua kujitenga na CUF- Chama cha Wananchi na hawajawahi kutoa Ushirikiano kwa CUF tangu muda huo na CUF iliamua kutowafukuza ili kudhibiti matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi kwa ajili ya Chaguzi ndogo. CUF ni Chama cha Wananchi, kinatanguliza Maslahi ya Wananchi."
Eng. Mohamed Ngulangwa
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
CUF-Chama Cha Wananchi
Hatanamimi nahamia act tena MIMI cuf damu huyo lipumba anauprofesa wa hesabu suio Mwana siasa cuf kwishine kwenye duru la siasa Tanzania. Lipumba namtaka ajiuzuru. Nafasiyake katka chamaMngewafukuza halafu mkose ruzuku??
Pumbavu
hahaaaaaJamaa mmepiga karata Kali sana
Hatanamimi nahamia act tena MIMI cuf damu huyo lipumba anauprofesa wa hesabu suio Mwana siasa cuf kwishine kwenye duru la siasa Tanzania. Lipumba namtaka ajiuzuru. Nafasiyake katka chama
Basi sawa🧐View attachment 1484343
"Wabunge hawa walishaamua kujitenga na CUF- Chama cha Wananchi na hawajawahi kutoa Ushirikiano kwa CUF tangu muda huo na CUF iliamua kutowafukuza ili kudhibiti matumizi mabaya ya Kodi za Wananchi kwa ajili ya Chaguzi ndogo. CUF ni Chama cha Wananchi, kinatanguliza Maslahi ya Wananchi."
Eng. Mohamed Ngulangwa
Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma
CUF-Chama Cha Wananchi