LGE2024 Wabunge na madiwani wamevuruga uchaguzi ndani ya CCM

LGE2024 Wabunge na madiwani wamevuruga uchaguzi ndani ya CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

MIGNON

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2009
Posts
4,108
Reaction score
5,110
Kwa ufupi ni kuwa wabunge na madiwani waliopo madarakani kwa maeneo mengi wameshiriki kuvuruga uteuzi ndani ya CCM.

Kwa fursa walizonazo wameshawishi wasiowapenda waondolewe katika maandalizi ya kujenga team zao za ushindi mwakani.
 
Ccm haijawahi kufanya uchaguzi iwe wa ndani au wa nchi ukawa huru na salama
 
Back
Top Bottom