Umesema kweli sana! Wabunge wapuuzi Sana hawa. Jiwe ndio alileta hawa wapuuzi akawajaza huko mjengoni!Unaangalia hili bunge ambalo mchangiaji dakika 8 dakika10 maneno yake ni Samia,mama yetu,serikali ya awamu ya sita imefanya makubwa zinarudiwa karibia mara 40 na anachokichangia pia kwa hizo dakika 2 bado hakijui.....bunge la uchawa uchawa na wajinga wajinga tu.
Unaangalia hili bunge ambalo mchangiaji katika dakika 8 kati ya dakika 10 maneno yake ni Samia, mama yetu, serikali ya awamu ya sita imefanya makubwa zinarudiwa karibia mara 40 na anachokichangia pia kwa hizo dakika 2 bado hakijui.....bunge la uchawa uchawa na wajinga wajinga tu.
Ila watu wanajua kujikomba na kusujudu sijapata kuona.Unaangalia hili bunge ambalo mchangiaji katika dakika 8 kati ya dakika 10 maneno yake ni Samia, mama yetu, serikali ya awamu ya sita imefanya makubwa zinarudiwa karibia mara 40 na anachokichangia pia kwa hizo dakika 2 bado hakijui.....bunge la uchawa uchawa na wajinga wajinga tu.