Wabunge Nchini Kenya watoka nje wakisusia Bajeti baada ya Waziri wa Fedha kuanza kusoma

Wabunge Nchini Kenya watoka nje wakisusia Bajeti baada ya Waziri wa Fedha kuanza kusoma

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya Ukumbi Wakisusia Bajeti mara baada ya Waziri kuanza kusoma.

Ni wabunge wa nchi jirani ya Kenya.

===

IMG_7620.jpeg


Azimio coalition MPs stage walk-out of the House as Treasury CS Ndung’u begins presenting the 2023/2024 budget estimates.

Source: Citizen TV
 
wabunge wa chama pinzani kumbe(cdm ya kenya)
hamna kitu hapo
 
Hilo ni kundi la kabila X linapinga mipango ya iliyoletwa bungeni na serikali ya kabila Y
 
Back
Top Bottom