johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nilianza kushangaa watanzania wameamka lini tena kumbe ni wenzetu wa Kenya!Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya Ukumbi Wakisusia Bajeti mara baada ya Waziri kuanza kusoma.
Ni wabunge wa nchi jirani ya Kenya...
Wabongo hawatawai amka leo ama kesho!Nilianza kushangaa watanzania wameamka lini tena kumbe ni wenzetu wa Kenya!
Wabongo hawatawai amka leo ama kesho!