Wabunge sasa waamua kuvujisha siri

Wabunge wa mchongo mapimbi hawa nani aliwachagua?
Acheni kulazimisha mambo hii ni serikali batili na nyie ni batili!
 
Sasa si wajiuzulu. Wanavyoingiziwa mishahara na mafao yao mengine kwenye akaunti kila mwezi huwa wanakuja kulalamika kwa wananchi?
 
Ccm wameifanya h nchi Hata kunguni anaweza kuwa kiongozi
 
Wabunge wasiojua hata idadi ya kura walizopigiwa.

Tume ya uchunguzi isisahau kuwahoji wasimamizi, waangalizi na tume yenyewe.

Waweke na ushahidi wa kura, na karatasi za majumuisho
 
Wabunge wa Mavi
 
Sasa maana ya kuwa mbunge ni nini?

Hapana, tusipakane mafuta hapa, kwa hao vibaraka wanaotafuta kuhamisha lawama ili waonekane wao siyo sehemu ya uchafu.

Kama mtu kaingia bungeni kwa nia ya kusimamia aliyotumwa na wananchi waliomchagua; hakuna sababu yoyote ya kuanza kutafuta visababu vya kutimiza uliyotumwa na wananchi wako.

Hawa wote ni wachumia tumbo tu, hakuna viongozi hapo.
 
Kama wanaona hawana uhuru waondoke bungeni,kwanza nani alieachagua wasengerema hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…