Kwa tathimini ya haraka Ubunge umekuwa jambo jepesi sana,niwaombe wabunge watakaopita hasa Ma prof na ma Dr wakakomae bungeni ili wabadilishe vifungu katika katiba kuhusu eneo la uwakilishi iwe kama ifuatavyo:
1. Elimu nikuanzia kidato cha 6 na kuendelea
2. Ubunge uwe na kikomo vipindi vinne tu ( 20)
3. Mbunge akisaapishwa sio Mali ya chama bali ni Mali ya wananchi wore
4. Wabunge wawe na wasaidizi angalau wawili wabobezi ktk taaluma mbalimbali ili kuwa na uwezo wakutoa michango muhimu kwa Taifa
5. Vikao vya Bunge vile mojakwa moja
6. Posho yakukaa vikao ipunguzwe