TwendeSasa
Senior Member
- May 24, 2008
- 128
- 116
Hatimaye bunge la wanafunzi chuo kikuu cha dar es salam limepitisha mgomo usiokuwa na kikomo kuanzia Jumatatu
Habari zilizotapakaa hapa chuo ni kwamba mgomo huo umekubaliwa na wabunge walio wengi baada ya wabunlge kudai wanafunzi walio wengi wanataka kugoma
Jana wanafunzi waligawanyika katika makundi mawili ambao wengine walitaka kugoma jana na wemgine ambao wengi wanadai wahakuwa na taaria ambao wengi wao walikuwa wanafunzi Coet
katika mkutano wa SLAB ( sehemu ambao wahandisi wa coet hukutana) wanafunzi hao waliwalalamikia viongozi wao kutowapa taarifa hali iliyosababishwa mwenzao watatu kuumizwa baada ya kuoneka hawasapot mgomo
Baadhi ya wanafunzi walioongea kwenye slab hiyo walionyesha kuchukizwa na hali ya viongozi wao kufanya mambo bila kutoa taarifa
lengo La mgomo ni kuishinikiza Serikali itoe makundi katikia mkopo wanawapatia wanafunzi hao na iwakopeshe asilimia mia moja