Elections 2010 Wabunge Viti Maalum waongezwa

Elections 2010 Wabunge Viti Maalum waongezwa

kapotolo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
3,727
Reaction score
2,217
NEC imetoa majina na mgawanyo wa wabunge sita wa viti maalum waliosalia, Chadema, CUF na CCM kila kimoja kimepata wabunge wawili zaidi. Names of appointees later
Source: Nipashe
 
CCM lazima kutakuwa na wacheza kiduku wapya au Bongo flavaz sababu walisaidia sana ktk kampeni ya CCMafisadi!:redfaces: Subirini msikie!
 
CCM lazima kutakuwa na wacheza kiduku wapya au Bongo flavaz sababu walisaidia sana ktk kampeni ya CCMafisadi!<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/redface.gif" border="0" alt="" title="Redface" smilieid="269" class="inlineimg" /> Subirini msikie!
<br />
<br />
Ndugu as much as unachukizwa na hao CCM lakini katika hili hauko sahihi. Tume ya taifa tayari ina orodha ya waliopendekezwa kwa viti maalum toka kila chama na tume ndiyo inachukua jina kutoka kwenye hiyo orodha kwa kuchukua jina la anayefuatia baada ya wale waliokwisha tangazwa.
 
hivi viti maalum ni kupeana kula tu na favour zisizokua na msingi, waliochaguliwa na wananchi wanatosha kutuwakilisha kule mjengoni:hungry:
 
aiseee,i guess my wives watakuwemo maana kila chama yuko mmoja
 
Back
Top Bottom