Ninawaza kwa kina majibu sipati, hawa waheshimiwa wanatekeleza wajibu wao kikatiba kweli?. Ninaona wenzetu hawatangulizi masrahi ya taifa mbele badala yake wamejaa chuki binafisi, kujipendekeza na kulinda masrahi Yao binafisi.Ninamuangalia Luhaga mpina wa 2015-2020 si huyu wa 2021-2025.Musukuma naye badala ya kuongea mambo ya kitaifa anafanya personal attack kwa mpina kwa mambo yaliyopita lkn binafisi. Please and Please Wabunge wetu tunaomba muzihurumie Kodi zetu.